You are here: Home Blog Authors Administrator

marcelmosha

Ilikuwa tarehe 8, May, 2010 tulipokuwa na misa ya kumbukumbu ya mwaka Mmoja wa marehemu Mark Tumaini Mosha huko Kilema, Moshi. Watu wengi kwa mamia kutoka, mikoani na nje ya nchi waliweza kuhudhuria misa ya kumuombea.

Blinklist!Blogmarks!BlinkBits!Ask!
  • 0 Comments